Uhifadhi wa malisho

Loading...
Thumbnail Image

Date

2023

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TAURI)

Abstract

Mavuno ya malisho katika sehemu za tropiki hutofautiana kwa wingi na ubora kutegemeana na aina, ukomavu, hali ya hewa rutuba ya udongo na matunzo. Majani na miti ya malisho yaliyovunwa huhifadhiwa ili kutumika wakati wa upungufu wa malisho kipindi cha kiangazi. Hifadhi ya malisho inaathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, uzalishaji hafifu na uelewa mdogo wa mbinu za uhifadhi.

Description

Kipeperushi

Keywords

Malisho, Mifugo, Majani ya mifugo

Citation