Lishe Wakati wa Ujauzito na Kunyonyesha - Vidokezo muhimu
Loading...
Date
2005
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Quality Assurance Project
Abstract
Wakati ukiwa mjamzito au unanyonyesha mwili wako unahitaji mlo kamili ambao hutokana na kula vyakula vya aina mbalimbali. Vyakula mbalimbali kila siku husaidia kuhakikisha kuwa unapata nishati na virutubishi vyote vinavyohitajika mwilini mwako pamoja na mahitaji ya mtoto.
Description
Keywords
Lishe, Wajawazito, Kinamama, Mtoto