Mwongozo wa afya ya mifugo

dc.contributor.authorVanWormer, E
dc.contributor.authorAhmed, A
dc.contributor.authorMsigwa, A
dc.contributor.authorMwanzalila, M
dc.contributor.authorMakweta, A
dc.contributor.authorKomba, E
dc.contributor.authorKelada, M
dc.contributor.authorKazwala, R. R
dc.date.accessioned2020-11-10T07:11:10Z
dc.date.available2020-11-10T07:11:10Z
dc.date.issued2019
dc.description.abstractTimu ya watafiti wenye ujuzi na taaluma mbalimbali kutoka mradi wa HALI ukishirikiana na wafugaji wanaoishi Kusini-Mashariki mwa Hifadhi ya taifa Ruaha waliweza kutambua na kuorodhesha magonjwa ambayo yanashambulia mifugo yao na hivyo kuandaa mwongozo huu kuhusu afya za mifugo. Abigail Ahmed, wa mtandao wa Afya Moja na mbunifu wa michoro kutoka Chuo Kikuu cha Nebraska-Lincoln, ndiye aliyebuni na kuchora michoro katika mwongozo huu na Kelly Kretchmer alichangia muonekano wa sehemu ya mbele ya mwongozo huu. Tunawashukuru wafugaji wote kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Tanzania kwa ushirikiano wao na mrejesho waliotoa wakati wa kuandaa mwongozo huu. Vile vile tunawashukuru wafanyakazi wa mradi wa HALI na washirika wetu kwa kupitia na kutoa mawazo yao wakati wa kuandaa mwongozo huu kama vile: Deana Clifford, Christopher Gustafson, Mathias Matandala, Jonna Mazet, Jesca Mlawa, Hilda Mrema, Goodluck Paul, Zikankuba Sijali, Robert Sumaye, na David Wolking. Mwongozo huu umeandaliwa kwa ufadhili wa watu wa Marekani kupitia Feed the Future Livestock and Climate Change Innovation Lab katika Chuo Kikuu cha Colorado na Idara ya utafiti wa kilimo ya Chuo Kikuu cha NebraskaLincoln.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/527
dc.language.isootheren_US
dc.publisherFeed the Future Innovation Laben_US
dc.subjectMifugoen_US
dc.subjectMagonjwaen_US
dc.titleMwongozo wa afya ya mifugoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
HALI+pastoralist+livestock+health+manual_Swahili_clean_12July2018-compressed.pdf
Size:
9.55 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections