Kilimo na biashara ya maua kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogo

dc.contributor.authorProgramu ya pantil
dc.date.accessioned2024-06-25T07:53:38Z
dc.date.available2024-06-25T07:53:38Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstract‘Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira huko Mgeta na kijiji cha Ruvuma (Morning Side) mkoani Morogoro. Maua aina ya ‘carnation’ pia yanalimwa na kampuni ya Highlanders wilayani Njombe na kijiji cha Ndiwili wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Mpaka sasa ugavi wa maua ya ‘carnation’ hautoshelczi mahitaji ya soko la ndani. Kwa mfano, wafanyabiashara wanahitaji zaidi ya banchi 100,000 kwa mwaka wakati wakulima hawawezi hata kuzalisha nusu yake. Matokco yakc maua mengi ya ‘carnation’ kwa ajili ya soko la ndani hununuliwa toka Nairobi nchini Kenya. Ni dhahiri kuwa watu wengi nchini Tanzania hawajui kiliino cha maua ya ‘carnation’. Sehemu hii ya kijitabu ina lengo la kuelezea juu ya kilimo cha ‘carnation’ kwa wakulima wadogo wadogo. hasa uzalishaji wa michc, upandaji wa michc bustanini, utunzaji wa bustani na uvunaji wa maua. Kuna aina kuu mbili za ‘carnation’ nazo ni ‘carnation’ aina ya ‘standard’ na ‘spray’. ‘Carnation aina ya ‘standard’ hutoa ua moja tu kwa kila tawi au shina wakati ‘carnation’ aina ya ‘spray’ hutoa maua mengi kwa tawi moja.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 640 48 5
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/878
dc.language.isootheren_US
dc.publisherChuo cha kilimo cha Sokoine.en_US
dc.relation.ispartofseriesPPN 033;
dc.subjectMauaen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectWafanyabiasharaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleKilimo na biashara ya maua kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Maua kwa wakulima na wafanyabiashara.pdf
Size:
6.51 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections