Uhakika wa Chakula Katika Kaya

dc.contributor.authorKinabo J. L.
dc.date.accessioned2025-12-19T07:16:17Z
dc.date.available2025-12-19T07:16:17Z
dc.date.issued2001
dc.descriptionKipeperushi
dc.description.abstractUhakika wa chakula unamaanisha kuwepo kwa chakula cha kutosheleza mahitaji ya jamii nzima kwa muda wote kwa ajili ya afya bora. Kaya ambayo hai- wezi kutimiza mahitaji yake ya chakula kwa kipindi cha mwaka mzima haina uhakika wa chakula. Kaya hiyo inatambulika kuwa ina tatizo sugu la uhakika wa chakula. Mara nyingi kaya hizo huwa ni maskini kupindukia na hasa wale wasio na ardhi au kitega uchumi chochote. Tatizo la muda mfupi wa uhakika wa chakula ni lile ambalo kaya ina uwezo wa kupata chakula kwa kipindi kifupi tu cha mwaka.
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/955
dc.language.isoother
dc.publisherChuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
dc.subjectLishe na Afya
dc.subjectchakula bora
dc.titleUhakika wa Chakula Katika Kaya
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UHAKIKA WA CHAKULA KATIKA KAYA.pdf
Size:
527.95 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections