Tathmini ya mfumo wa utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kupitia ruzuku Tanzania

dc.date.accessioned2018-07-03T10:07:38Z
dc.date.available2018-07-03T10:07:38Z
dc.date.issued2013
dc.description.abstractMojawapo ya kikwazo kikubwa kinachomkwamisha mkulima mdogo kulima kwa tija ni kumudu gharama za matumizi ya pembejeo za kilimo (mbolea na mbegu bora). Katika kuhakikisha Serikali ya Tanzania inamsaidia mkulima kumudu gharama hizo, mwaka 2008/2009 Serikali ilianzisha na kutekeleza utaratibu wa kuwapatia wakulima pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku kwa kupitia mfumo wa vocha (National Agricultural Inputs Voucher System - NAIVS). Katika kufuatilia ufanisi wa mpango huu, utafiti umefanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), chini ya mradi wa Enhancing Pro-poor Innovation in Natural Resources and Agricultural Value Chains (EPINAV).en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/241
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEPINAV - SUAen_US
dc.subjectMboleaen_US
dc.subjectPembejeoen_US
dc.subjectRuzukuen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleTathmini ya mfumo wa utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kupitia ruzuku Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
pembejeo.pdf
Size:
1.99 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: