Kilimo cha rozela na faida zake
Loading...
Date
2018-04
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Hai Tanzania
Abstract
Rosella ni mmea wenye virutubisho vingi kama vitamini na madini ya chumvi chumvi. Hutumika kutengeneza juisi, jam, jellies, sauces na mvinyo(pombe). Rosella hutumika kama kinga ya mwili na magonjwa kama saratani, ini na ukosefu wa lishe na inapunguza rehamu na kutibu presha.
Description
Matumizi kwa wananchi
Keywords
Kilimo cha Rozela na faida zake
Citation
https://kilimohaitz.blogspot.com/2018/04/kilimo-cha-rozela.html