Uhifadhi wa nyama kwa njia ya kukausha kwa kutumia mionzi ya jua na moshi wa kuni

dc.contributor.authorMtenga, L.A
dc.date.accessioned2024-04-05T09:05:30Z
dc.date.available2024-04-05T09:05:30Z
dc.date.issued2003
dc.descriptionKijaridaen_US
dc.description.abstractMradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (TARP 11 - SUA). Mradi huu unacndeshwa katika ukanda wa mashariki ya Tanzania katika mikoa ya Pwani na Morogoro. Watafiti wanatoka Chuo Kikuu cha Sokoinc cha Kilimo na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula. Kwa kuanzia kuna vijiji vitatu vinavyoshiriki katika mradi huu; Chamakweza (Chalinze) katika mkoa wa Pwani, Mnjilili na Nyumbanhitu (Gairo) katika mkoa wa Morogoro. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika uenezaji wa mbinu mbalimbali zinazohusika na mradi. Hizi ni pamoja na njia za maandalizi ya mwanzo, matayarisho (kukausha kwa kufukiza moshi na kutumia mionzi ya jua) na kuhifadhi nyama iliyokaushwa.en_US
dc.description.sponsorshipNORADen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/853
dc.language.isootheren_US
dc.publisherChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimoen_US
dc.subjectMionzi ya juaen_US
dc.subjectMoshi wa kunien_US
dc.subjectUhifadhi wa nyamaen_US
dc.titleUhifadhi wa nyama kwa njia ya kukausha kwa kutumia mionzi ya jua na moshi wa kunien_US
dc.title.alternative:Utafiti juu ya mbinu za uboreshaji wa mauzo, Uhifadhi na ulaji wa nyama Vijijinien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UHIFADHI WA WANYAMA2.pdf
Size:
1.54 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections