Maonyesho ya kimataifa ya Nanenane

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Abstract

Bodi ya Nyama Tanzania imeundwa chini ya Sheria ya Nyama Namba 10 ya Mwaka 2006 na kuzinduliwa tarehe 14 Novemba 2008. Bodi imepewa mamlaka ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya nyama kwa lengo la kuweka misingi madhubuti ya kiutawala ili kuhakikisha uzalishaji, usindikaji na biashara ya nyama na bidhaa zake unazingatia viwango vya ubora ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje.

Description

Jarida

Keywords

NYAMA, NANENANE, JIKO LA KUCHOMEA NYAMA, KUKU, NG'OMBE, MBUZI, MALISHO BORA, NDAMA WA NG’OMBE, MAZIWA, MALISHO, UVUVI, UGONJWA WA MDONDO, KAA, MWANI, SAMAKI

Citation

Collections