Kilimo na hifadhi ya mazingira

dc.contributor.authorGilla, Alli
dc.date.accessioned2024-04-22T08:53:13Z
dc.date.available2024-04-22T08:53:13Z
dc.date.issued1993
dc.description.abstractKwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka sana. Sasa hivi huwezi kufungua shamba mahali popote tu; kila shamba lina mwenyewe. Sio ajabu siku hizi kusikia kesi nyingi zinazohusu mashamba na mipaka. Sasa hivi huwezi kulima kilimo cha kuhamahama au kupumzisha shamba kama walivyofanya wazee. . Siku hizi rutuba ya udongo imepungua sana; matokeo yake mavuno nayo yamepungua. Sehemu nyingine watu wanatumia mbolea kupita kiasi na kuharibu udongo. Sasa hivi upatikanaji wa kuni umekuwa wa tabu. Katika sehemu za milimani kama Mgeta matatizo hayo ni makubwa zaidi. Wakulima wa huko kila siku wanayashuhudia matatizo haya.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/859
dc.language.isootheren_US
dc.publisherInades Formation Tanzaniaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectHifadhien_US
dc.subjectMlimanien_US
dc.titleKilimo na hifadhi ya mazingiraen_US
dc.title.alternativeKlimo mlimanien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo na hifadhi ya mazingira.pdf
Size:
3.46 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: