Ufugaji a jongoo
No Thumbnail Available
Date
2019-06-05
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
BBC
Abstract
Zanzibar katika kisiwa cha Uzi shughuli adimu ya ufugaji wa majongoo bahari, ni moja kati ya mradi mikubwa unaotarajiwa kuwa chanzo cha mapato,ajira na fursa muhimu ya uhifadhi wa viumbe bahari ambao katika siku za hivi karibuni wanahofiwa kutoweka.
Description
Ufugaji wa jongoo
Keywords
Ufugaji wa jongoo
Citation
https://www.bbc.com/swahili/habari-48522267