Faida za kiafya za Mayai

dc.contributor.authorUly Clinic
dc.date.accessioned2024-10-28T05:57:44Z
dc.date.available2024-10-28T05:57:44Z
dc.date.issued2020-04-05
dc.description.abstractMayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D, kolesto kwa wingi na madini ya lutein na zeaxanthin . Yai huweza kuliwa likiwa bichi, kuchemshwa au kukaangwa. Kama ilivyo kwa baadhi ya vyakula, yai hupoteza virutubisho linapochemshwa kwa muda mrefu au kukaangwa. Vitamin D kwenye yai hupungua kwa kiwango kikubwa endapo yai litapikwa kwa muda mrefu. Hata hivyo kuchemsha au kukaanga yai kwa muda mrefu hupunguza kwa asilimia kwa asilimia 90 hivyo kupoteza umuhimu wake katika mwilinien_US
dc.identifier.citationhttps://www.ulyclinic.com/faida-za-vyakula/faida-za-kiafya-za-mayaien_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/943
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUly Clinicen_US
dc.subjectMayaien_US
dc.subjectFaidaen_US
dc.subjectKiafyaen_US
dc.titleFaida za kiafya za Mayaien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Faida za kiafya za mayai.pdf
Size:
58.28 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections