Utengenezaji na matumizi ya mboleavunde katika kilimo.

dc.contributor.authorNgeze, Pius B
dc.date.accessioned2024-02-23T07:13:03Z
dc.date.available2024-02-23T07:13:03Z
dc.date.issued1992
dc.description.abstractMimca inapokuwa shambani hufyonza virutubisho vya mimea kutokaudongoni. Kali ya virutubisho hivyo, vilivyo muhimu zaidi ni nitrojeni, fosforasi, potasi, kalisi na feri. Mimea hutumia virutubisho hivyo kwa kukua, kuzaa, kujiimarisha na kupevusha matunda ili kutupatia mavuno yaliyo mengi na bora. Karibu sehemu zote za mimea zina virutubisho. Sehemu hizo ni mizizi, mashina,majani, maua na matunda. Lakini, si sehemu zote hizo hutumiwa na binadamu kwa chakula. Kwa kawaida sehemu zinazotumiwa ni maua, majani, mbegu matunda au tyuba. Hata hivyo, sehemu halisi inayotumika hutegemea aina ya zao au mmea. Sehemu zinazobaki ambazo hazitumiwi na binadamu au mifugo kwa chakula hubaki na virutubisho hivyo. Iwapo sehemu kama hizo zitaachwa ziharibike ovyo huko shambani, au kuzichoma moto, hasa nje ya shamba, aina hizo za vyakula zitapotea bure bila kuwafaidia wakulima wala taifa. Njia ya kuhakikisha kwamba masalia hayo ya mimea yanawafaidia wakulima ni kuyarudisha udongoni. Njia iliyo bora ya kufanya hivyo ni kuyaozesha masalia ya mimea na kuyatumia kutengeneza mboleavunde. Vivyo hivyo kwa masalia ya wanyama (hasa mifugo). Wanyama hula mimea. Kiasi cha chakula hicho hutumiwa na wanyama hao kwa kukua, kuzaa, kufanya kazi na kuishi. Kiasi kilichobaki hutolewa nje kama kinyesi. Kinyesi hicho kina virutubisho muhimu vya mimea. Njia nzuri ya kutumia kinyesi hicho cha mifugo ni kukitumia kutengeneza samadi na mboleavunde na kuziweka udongoni ili kustawisha mazao. Kufanya hivyo ni kudumisha uhai wa udongo na viumbehai vingine.en_US
dc.identifier.isbn978 9976 982 17 8
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/804
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTanzania Educational Publishers Ltden_US
dc.subjectMboleavundeen_US
dc.subjectMatumizien_US
dc.subjectUtengenezajien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleUtengenezaji na matumizi ya mboleavunde katika kilimo.en_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE.pdf
Size:
2.85 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections