MPANGO WA KUHAMISHA SHUGHULI ZA KIPATO (MKUSHUKI) KWA WALIOCHUKULIWA MASHAMBA YAO KWA AJILI YA HIFADHI YA UBIOANUWAI KATIKA USHOROBA WA MSITU WA DEREMA :Ushoroba wa misitu ya Derema: Milima ya Usambara Mashariki

dc.date.accessioned2018-12-19T08:17:08Z
dc.date.available2018-12-19T08:17:08Z
dc.date.issued2006-09
dc.description.abstractKati kati ya mwaka 2002, wakulima 1128 waliokuwa wakiishi sehemu ya kaskazini mashariki ya Tanzania, kwenye miteremko mikali ya milima ya Usambara Mashariki, waliambiwa kwamba mazao katika mashamba yao madogomadogo katika misitu, nje ya vijiji vyao ilibidi yafyekwe ili kuihifadhi misitu hiyo. “Ushoroba Mpya wa Derema” utakuwa ni kiungo kati ya hifadhi mbili za misitu ambayo inalindwa na mwendelezo wa makazi ya mamia ya ndege, wanyama watambaao, wadudu, spishi za wadudu na mimea ambayo ni adimu sana, na mingine ambayo inatishiwa kutoweka. Wakulima walilipwa fidia ya mazao ambayo yalikuwa katika mpaka wenye upana wa mita tatu kuzunguka ushoroba; mpaka ambao uliwekwa kwa kufyeka mimea iliyokuwa katika mpaka huo. Mazao yao ndani mpaka –yenye thamani kubwa, yale ya iliki, mdalasini, karafuu na pilipili manga, pamoja na baadhi ya miti ya matunda – yalihesabiwa na kuorodheshwa kwa ajili ya kulipiwa fidia baadaye.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/387
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMradi wa Hifadhi na Usimamizi wa Misitu Tanzania - TFCMPen_US
dc.subjectMilimaen_US
dc.subjectUsambaraen_US
dc.subjectMisituen_US
dc.titleMPANGO WA KUHAMISHA SHUGHULI ZA KIPATO (MKUSHUKI) KWA WALIOCHUKULIWA MASHAMBA YAO KWA AJILI YA HIFADHI YA UBIOANUWAI KATIKA USHOROBA WA MSITU WA DEREMA :Ushoroba wa misitu ya Derema: Milima ya Usambara Masharikien_US
dc.typePresentationen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Derema Ressetlment Action Plan Kiswahili version.pdf
Size:
410.07 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: