Kanuni bora za kilimo cha Alizeti Tanzania

dc.date.accessioned2018-09-27T07:07:34Z
dc.date.available2018-09-27T07:07:34Z
dc.date.issued2017
dc.description.abstractAlizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/293
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMogriculture.comen_US
dc.subjectAlizetien_US
dc.subjectMbegu za mafutaen_US
dc.subjectMafutaen_US
dc.titleKanuni bora za kilimo cha Alizeti Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
alizeti.pdf
Size:
418.34 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections