Zuia upungufu wa vitamini A
Loading...
Files
Date
1994-04-14
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Shirika la Chakula na Lishe Tanzania
Abstract
Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna
maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya lishe kwa wananchi. Vile vile uandishi wa kijitabu hiki umelenga kutoa fursa kwa jamii iweze kuelewa na kutafakari matatizo yake ya kiafya na kilishe hasa ya upun gufu wa vitamini A. Maudhui yaliyotumika ni rahisi na yanayoeleweka. Hivyo ni matarajio ya Wizara ya Afya kuwa maandiko haya iwapo yatasomwa na kutekelezwa yatachangia kuinua afya na lishe ya jamii.
Description
Keywords
Vitamini A., Upatikanaji wa vitamini A., Upungufu wa vitamini A., Wajibu wa jamii, Wajibu wa familia