Ni muhimu kuuza kwa pamoja: Faida ya soko la pamoja
Loading...
Date
2014-09
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Farm Radio International
Abstract
Zao la muhogo limekuwa likifanyiwa biashara katika miji mbalimbali hapa Tanzania. Wanawake wafanya biashara wadogo wadogo wamekuwa wakiuza mihogo katika viunga mbalimbali vya miji katika foleni za magari na pia idadi ya watumiaji wanaonunua unga wa muhogo katika maduka mbalimbali inaongezeka.
(Hiki ni kipindi kwa ajili ya wataarishaji wa Vipindi vya Redio)
Description
Keywords
Biashara, Masoko, Wakulima, Kipindi cha redio, Muhogo