Maji ya limau.
Loading...
Date
2023-01-07
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
BBC NEWS
Abstract
Unywaji maji ya limau kumehusishwa na faida nyingi, ikiwa ni pamoja na kuboresha ngozi na usagaji chakula.Ndimu na matunda mengine ya machungwa yanajulikana sana kwa ngozi zao za rangi, zilizo na mashimo na ladha nyororo na yenye kuburudisha. Maji ya limau ni maji ya limau pamoja na maji na yanaweza kuywewa yakiwa ya moto au baridi, pamoja na viongezi kama vile zest ya limau, asali, mint au viungo kama vile manjano au pilipili.
Description
PUBLIC USE
Keywords
Limau, Kiafya
Citation
https://www.bbc.com/swahili/articles/cd1vlrvkm9lo