Chakula bora cha samaki

dc.contributor.authorIdara ya Ukuzaji Viumbe Maji
dc.date.accessioned2023-02-23T09:27:59Z
dc.date.available2023-02-23T09:27:59Z
dc.date.issued2022-02
dc.description.abstractChakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama za uzalishaji. Ili kufuga kwa tija na kupata mavuno makubwa, inashauriwa mfugaji atumie chakula bora cha ziada. Ubora wa chakula ni pamoja na uwepo wa virutubisho muhimu na urahisi wa kumenge’nywa na samaki.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/661
dc.publisherWizara ya Mifugo na Uvuvien_US
dc.subjectChakula cha asilien_US
dc.subjectKulisha samakien_US
dc.subjectChakula boraen_US
dc.subjectSamakien_US
dc.titleChakula bora cha samakien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
-KIPEPERUSHI-UFUGAJI WA SAMAKI KWENYE MABWAWA.pdf
Size:
31.81 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections