Mafunzo ya kilimo.
Loading...
Date
1990-07-19
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
INADES-FORMATION TANZANIA.
Abstract
Ni asubuhi na mapema
Bwana shamba anakutana
na Matonya akiwa na shoka
beganiJ hengo mkononi na
kibuyu cha maji.
Hiki ni kipindi cha kiangazi
Miti imepNkutisha majani
nyasi na vichaka vyote
vimekauka majani yote.
Upepo unatimua vumbi kila mahali
hasa katika maeneo yenye njia za mifugo
mashambani na hata barabarani.
Na maeneo ya milimani
yameanza kuchomwa moto.
Description
Keywords
Mmomonyoko wa udongo, Aina za mmomonyoko, Kudhibiti mmomonyoko