Mwongozo kuhusu ufugaji wa ngamia
Loading...
Date
1996
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Heifer Project International
Abstract
Ufugaji wa ngamia unafanywana watu wengi katika mataifambalimbali ulimwenguni kw ajili ya kujipatia maendeleo katika sehemu zilizo na ukame.Ngamia wamekuwa wakisaidia katika shughuli nyingi kama vile kubeba mizigo, kubeba watu kwa kupandwa mgongoni, kulima kwa kutumia jembe la kukokotwa linalovutwa pia na maksai.kuvuta mikokoteni na kutoa mazima na nyama kwa matumizi ya binaadamu. Nchini Tanzania ufugaji umeanza hivi karibuni tu na tena katika maeneo machache sana. Mwongozo huu ni muhimu na utamsaidia mfugaji kuelewa mambo mengi kuhusiana na ufugaji wa ngamia.
Description
Keywords
Ngamia