Nakala juu ya rutuba ya udongo

dc.date.accessioned2018-10-12T11:06:56Z
dc.date.available2018-10-12T11:06:56Z
dc.date.issued2016
dc.description.abstractRutuba ya ugongoimefafanuliawa kama “uwezo wa udongo kusambaza idadi ya kutosha ya virutubisho muhimu na maji yanayohitajika kwa ajili ya ukuaji wa mimea maalum ikiongozwa na vigezo vya kemikali, maumbile, kibaiologia kwenye udongo.” Kilimo ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa idadi kubwa ya wakazi wa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Udongo ambao hauna rutuba nzuri ni kikwazo kikuu cha kuongeza uzalishaji wa chakula, lishe na vyakula vya nyuzi nyuzi. Kuna uhaba wa matumizi ya pembejeo za kilimo kusini mwa jangwa la Sahara. Ongezeko wa watu unasababisha kupungua kwa ukubwa wa ardhi, na kwa kuwa kuna upungufu wa ardhi yenye rutuba kuna umuhimu wa kufuata taratibu za sayansi ya udongo na uzalishaji mazao.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/343
dc.language.isootheren_US
dc.publisherFarm Radio International - FRIen_US
dc.subjectUdongoen_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectRutubaen_US
dc.titleNakala juu ya rutuba ya udongoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
105_9_Nakala_juu_ya_Rutuba_ya_udongo.pdf
Size:
115.59 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: