Boga

dc.contributor.authorchuo kikuu cha kilimo cha sokoine
dc.date.accessioned2024-02-23T06:52:42Z
dc.date.available2024-02-23T06:52:42Z
dc.date.issued2022-10-31
dc.description.abstractPumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. Kwa sehemu yan je maboga huwa magumu lakini yanapopikwa hulainika. Ndani ya boga huwa kuna kuna mbegu ambazo hutolewa na sehemu ya ndani ambayo huwa inaliwa. Kipande cha gramu 80 cha boga (lililochemshwa) huwa na : Gramu 0.5g za protini Gramu 0.2 za mafuta Gramu 1.5 za nafaka Gramu 1.4 za sukari Gramu 1.2 za faiba( nyuzinyuzi) Miligramu 67za Potassium Miligramu 764 za carotene Miligramu 6 za vitramini C 10Kcal / 42KJen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/801
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine University of Agricultureen_US
dc.subjectBogaen_US
dc.titleBogaen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
BOGA.pdf
Size:
797.21 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections