Kilimo bora cha nyanya - Uzalishaji, Usindikaji na Upatikanaji Masoko ya Nyanya unaotilia Mkazo Kupunguza Umasikini Kwa Wakulima Wadogo wadogo

dc.contributor.authorIshengoma, C. G
dc.contributor.authorMvena, Z. S. K
dc.contributor.authorTiisekwa, B
dc.contributor.authorLaswai, H. S
dc.contributor.authorReuben, S. O. W. M
dc.contributor.authorNchimbi - Msolla, S
dc.contributor.authorMaerere, A. P
dc.contributor.authorAshimogo, G
dc.contributor.authorNjau, P. J. R
dc.date.accessioned2017-11-16T11:38:55Z
dc.date.available2017-11-16T11:38:55Z
dc.date.issued2005-08
dc.description.abstractUtafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima, watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani. Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya, matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na hatimaye uvunaji.en_US
dc.identifier.isbn9987-422-18-77
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/60
dc.language.isootheren_US
dc.publisherFOCAL - SUAen_US
dc.subjectNyanyaen_US
dc.subjectUzalishajien_US
dc.subjectUsindikajien_US
dc.subjectMasokoen_US
dc.subjectUmasikinien_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.titleKilimo bora cha nyanya - Uzalishaji, Usindikaji na Upatikanaji Masoko ya Nyanya unaotilia Mkazo Kupunguza Umasikini Kwa Wakulima Wadogo wadogoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KILIMO BORA CHA NYANYA.pdf
Size:
12.72 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections