Dondoo za ujenzi wa banda bora la ngo'mbe
Loading...
Date
2019-06-23
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Blog
Abstract
: Idadi kubwa ya wafugaji hawatilii maanani
umuhimu wa nafasi, ukubwa na idadi ya wanyama wanaopaswa kuwa ndani wakati wa ujenzi wa
mabanda. Hujenga mabanda madogo kiasi cha kuwanyima uhuru wanyama kuzunguka ndani au
kukidhi mahitaji yao ya kitabia pale wanyama husika wawapo ndani ya mabanda hayo.