Shughuli za ufugaji kijijini kwa mzee Jongo

dc.date.accessioned2018-06-13T08:11:00Z
dc.date.available2018-06-13T08:11:00Z
dc.date.issued2013
dc.description.abstractUfugaji wa kamba na samaki umeanza kuwa ni shughuli ya ujasiriamali ambayo inaweza kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye jamii ya ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Kama ilivyo kwa shughuli zingine za ufugaji wa viumbe vya majini, ufugaji wa kamba na samaki umepata mtazamo maalumu kutokana na kamba na samaki wanaovuliwa baharini kutokutosheleza mahitaji. Madhumuni ya kitabu hiki ni kutoa muongozo wa mbinu na taratibu zinazofaa katika kufuga kamba na samaki ili kitumike kuongoza wafugaji wadogo katika nchi za Afrika Mashariki. Kumekuwepo na majaribio mengi ya ufugaji wa kamba katika Afrika Mashariki ikiwemo jaribio la FAO mwaka 1998 huko Ngomeni Malindi Kenya na pia wawekezaji waliojaribu kuanzisha mashamba Tanzania kwenye miaka ya tisini. Hata hivyo hakuna ambako mpaka sasa kumeonyesha kutoa matokeo mazuri ili kuweza kuivutia jamii na wawekezaji binafsi kuweza kujaribu shughuli hii inayoweza kuongeza kipato. Pia Ufugaji wa samaki aina ya mwatiko umekuwa ukiongezeka katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki. Taasisi za utafiti kama vile Taasisi ya Sayansi ya Bahari (IMS) na Idara ya ufugaji wa viumbe vya majini na uvuzi(DASF) vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Asasi kama WIOMSA, WWF na TCMP zimekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia wanavijiji wa ukanda wa pwani ya Tanzania katika juhudi zao za kuanzisha na kuendeleza ufugaji wa samaki.en_US
dc.description.sponsorshipEuropean Unionen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/157
dc.language.isootheren_US
dc.publisherReCoMaPen_US
dc.subjectSamakien_US
dc.subjectBwawaen_US
dc.subjectUfugajien_US
dc.subjectKambaen_US
dc.titleShughuli za ufugaji kijijini kwa mzee Jongoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
17_Manual_guide_fish_farming_Tanzania_Swahili.pdf
Size:
5.26 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections