UFUGAJI NYUKI

dc.contributor.authorKisenga, Narcis
dc.date.accessioned2022-04-13T10:06:56Z
dc.date.available2022-04-13T10:06:56Z
dc.date.issued1999
dc.descriptionUFUGAJI NYUKIen_US
dc.description.abstractTokea zama za kale binadamu wamekuwa wakitafuta asali inayozalishwa na nyuki. Kwa azma hiyo shughuli yoyote ya ufugaji nyuki ni kuendeleza zaidi ufanisi wa haya. Binadamu na nyuki hutegemeana. Kwani kwa upande wa nyuki badala ya kuwindwa na kuuawa kwa ajili ya asali yao hutunzwa na kulindwa. Matokeo ya haya siyo tu kupatikana kwa asali na nta bali pia kutambuliwa kwa nyuki kama rasilimali muhimu ya kuhifadhiwa kulindwa na kustawishwa. Ukusanyaji wa asali na nta ni shughuli ya kijadi katika karibu bara lote la Afrika. Wafugaji nyuki wa jadi hutumia mizinga rahisi ambayo njia ya uvunaji asali huluta maangamizo ya makundi ya nyuki. 1 Kwa hiyo iko haja ya kubadilisha njia hii kali ya ufugaji nyuki na kuanzisha ufugaji nyuki mzuri wenye ufanisi zaidi. Huu ni ufugaji wa kutumia mizinga ya masanduku yenye viunzi vya juu au masanduku yenye fremu. Shughuli yenyewe inaweza ikawa ni mradi wa kiwango kidogo ambao unaweza kuendeshwa kirahisi. Nyuki wanasaidia kuchavusha mimea ya asili na ile ya kilimo na biashara. Mizinga haichukui eneo lolote la ardhi na haitegemei pembejeo kutoka nchi za nje. Yeyote anaweza akaanza ufugaji nyuki na familia nzima ikaweza kushirikishwa. Njia nzuri ya kujifunza juu ya ufugaji nyuki ni kufanya kwa vitendo.en_US
dc.description.sponsorshipHalmashauri ya Wilaya Rufiji, ushauri unatoka kwa IUCN-The World Conservation Union, na mhisani ni Serikali ya Uholanzien_US
dc.identifier.citationhttps://portals.iucn.org/library/node/8076en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/602
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMUMARU (REMP)Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufijien_US
dc.relation.ispartofseriesTRAINING BOOKLET NO. 1;
dc.subjectUFUGAJI, MFUGAJI MPYA, NYUKI, MWONGOZOen_US
dc.titleUFUGAJI NYUKIen_US
dc.title.alternativeMwongozo kwa Mfugaji Mpyaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
nyuki nyuki.pdf
Size:
1.53 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
UFUGAJI WA NYUKI
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections