Kutunza kumbukumbu za biashara kwa wakufunzi na wasindikaji: Mradi wa kusindika kibiashara matunda na mbogamboga unaotekelezwa Tanzania na Rwanda
Loading...
Date
2011-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
ASARECA
Abstract
Baada ya kusoma kijitabu hiki msomaji anatefgemewa kuweza:
- Kutunza vizuri kumbukumbu na hati za biashara.
- Kuujua umuhimu na thamani ya kumbukumbu za biashara.
- Kuzitathmini benki na kuweza kuchagua akaunti ya benki inayofaa.
- Kuambatisha gharama kwenye bidhaa na kupanga bei na mishahara ambavyo
vitawasaidia katika uainishaji.
- Kujua umuhimu wa orodha ya bidhaa na jinsi ya kuisimamia ili kupunguza
gharama.
Description
Keywords
Usindikaji, Kumbukumbu, Biashara