Mwongozo wa kutengeneza chakula cha samaki na ulishaji wa samaki

dc.contributor.authorChuo kikuu cha kilimo cha sokoine
dc.date.accessioned2024-06-24T06:48:18Z
dc.date.available2024-06-24T06:48:18Z
dc.date.issued2022
dc.description.abstractSamaki kama viumbe hai wengine wanahitaji kula chakula ili waishi na kukua. Katika mazingira ya asili kama vile mito, maziwa na bahari, samaki hula chakula cha asili kinachopatikana ndani ya maji. Vyakula hivyo ni pamoja na jamii ya mimea na vijidudu wanaopatikana kwenye maji. Lakini, samaki wa kufugwa hususan ufugaji wa kibiashara, huhitaji kulishwa chakula cha ziada chenye ubora iliyo na virutubisho vinavyohitajika ili aweze kukua vyema na kwa haraka zaidi. Uandaaji wa chakula cha ziada cha samaki hutegemea zaidi aina ya samaki, mfumo wa samaki husika katika kumeng’enya (kusaga) chakula pamoja na kiasi cha virutubisho vinachohitajika.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/873
dc.language.isootheren_US
dc.publisherChuo cha kilimo cha Sokoineen_US
dc.subjectSamakien_US
dc.subjectMwongozoen_US
dc.subjectUlishajien_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.titleMwongozo wa kutengeneza chakula cha samaki na ulishaji wa samakien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Final MANUAL YA CHAKULA CHA SAMAKI -February 2022.pdf
Size:
1.02 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections