Nzige
Loading...
Date
2022-11-14
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wingu la mashahidi
Abstract
Hii ni jamii ya Panzi, ambayo ndio jamii kubwa kimaumbile kuliko jamii zote za panzi, Nzige wanasifa ya kutembea kimakundi na wanahama kutoka ukanda mmoja kwenda mwingine, na wanapotua mahali wanaharibu mazao ndani ya muda mfupi sana. Sifa ya nzige ni kwamba hawana kiongozi kama walivyo wadudu wengine kama Nyuki au Mchwa Lakini Nzige wanatabia ya kula Matawi ya Nafaka na kubakisha mapengo mapengo na kisha
Description
Keywords
Nzige, Parare, Tunutu
Citation
https://wingulamashahidi.org