Ufugaji bora wa nguruwe

dc.date.accessioned2018-09-28T09:30:14Z
dc.date.available2018-09-28T09:30:14Z
dc.date.issued2017-05
dc.description.abstract“Ufugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora. Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana na ufugaji wa nguruwe”, anasema Bwana Lomaiyani Molel kutoka Arusha. Jamii nyingi hapa Tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa kuwa karibu naye na hata kwa matumizi kama lishe. Zaidi, nyama yake inapendwa na haina madhara kwa afya na inapendekezwa kuliwa zaidi kuliko nyama nyekundu. Unaweza kuanzisha mradi wa nguruwe kwa gharama ndogo lakini baada ya kipindi cha miezi tisa tu ukaanza kujipatia kipato kutokana na ufugaji huo.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/310
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo na Mifugo Blogen_US
dc.subjectMifugoen_US
dc.subjectNguruween_US
dc.subjectNyamaen_US
dc.titleUfugaji bora wa nguruween_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
nguruwe.pdf
Size:
99.45 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections