Jarida maalum la nanenane

dc.contributor.authorWizara ya Mifugo na Uvuvi
dc.date.accessioned2026-03-31T08:36:29Z
dc.date.available2026-03-31T08:36:29Z
dc.date.issued2025
dc.descriptionJarida
dc.description.abstractWizara ya mifugo na uvuvi imeibuka na ushindi huo baada ya kuongoza katika vigezo mbalimbali hali iliyochagizwa na maandalizi mazuri iliyofanya katika maonesho hayo huku kivutio kikubwa kikiwa ni Paredi ya Mifugo iliyoambatana na maonesho ya Ndege nyuki maalum inayotumika kwenye udhibiti wa Uvuvi haramu. Akizungumza katika kilele cha Maonesho hayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mbali na kuipongeza Wizara hiyo kwa jitihada ilizochukua katika udhibiti wa magonjwa ya Mifugo kupitia utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo, ameielekeza kuhakikisha inaweka kituo cha Ugani kwenye viwanja vya Maonesho hayo jijini Dodoma ambavyo rasmi leo vimetambulishwa kwa jina la Dkt. John Samwel Malecela ili wananchi waendelee kunufaika na elimu ya masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Mifugo na Uvuvi
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/973
dc.language.isoother
dc.publisherWizara ya Mifugo na Uvuvi
dc.subjectMIFUGO
dc.subjectUVUVI
dc.subjectSAMAKI
dc.subjectUVUVI HARAMU
dc.titleJarida maalum la nanenane
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JARIDA MAALUM LA MLF LA NANE NANE 2025-1.pdf
Size:
3.58 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections