Jarida la uenezi wa ufugaji wa samaki kwa wakulima
Loading...
Date
1984
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
ALCOM/FAO/SUA
Abstract
Jarida hili linajumuisha kwa pamoja majarida matatu; Jinsi ya kutengeneza
bwawa lako la samaki, Jinsi ya kulisha samaki wako na Jinsi ya kutunza bwawa lako la samaki yaliyotolewa na ALCOM kwa matumizi ya jimbo la mashariki, Zambia. Kufuatia matokeo ya utafiti, marekebisho kadhaa yamefanywa ili kuimarisha elimu ya ufugaji wa samaki Tanzania.
Description
Keywords
Ufugaji, Samaki, Wakulima, Bwawa, Mambwawa