Mboga mboga na matunda.
Loading...
Date
2023-08-25
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
LIshe4life
Abstract
Matunda na mboga mboga, kama vile nanasi na brokoli, huchochea mfumo wa mmeng’enyo mwilini, kufanya hivyo kuwa rahisi kumeng’enya chakula na kupunguza maumivu ya tumbo. Matunda yana vimeng’enya ambavyo husaidia katika mchakato wa mmeng’enyo, huku mboga mboga zikitupatia makapimlo yanayosaidia katika kulainisha njia ya chakula.
Description
Public use
Keywords
Mboga mboga, Matunda
Citation
https://lishe4life.com/faida-za-ulaji-wa-matunda-na-mboga-mboga-kwa-afya/