Kilimo cha mwani

dc.contributor.authorIdara ya ukuzaji viumbe maji
dc.date.accessioned2023-02-28T10:17:07Z
dc.date.available2023-02-28T10:17:07Z
dc.date.issued2022
dc.description.abstractMwani ni aina ya mimea inayoota na kukua kwenye maji chumvi (bahari) na maji baridi (mito, maziwa na mabwawa). Tofauti iliyopo kati ya mwani na mimea mingine inayokua kwenye nchi kavu ni kwamba mwani hautegemei mizizi kufyonza maji na virutubisho vingine bali hutumia sehemu zote za mmea kuvyonza virutubisho vinavohitajika kutoka kwenye maji. Aina ya jamii ya mwani inayolimwa nchini Tanzania kitaalam hujulikana kama “Eucheuma denticulatum” na pia huitwa Eucheuma spinosum. Aina nyingine ni “Kappaphycus alvarezii” kwa jina jingine Eucheuma cottonii.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/677
dc.publisherWizara ya mifugo na uvuvi,en_US
dc.subjectMwanien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleKilimo cha mwanien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
-KILIMO CHA MWANI.pdf
Size:
161.64 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections