Viungo vya chakula

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-23T06:36:39Z
dc.date.available2024-02-23T06:36:39Z
dc.date.issued2020-04-09
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractUtafiti mwingi juu ya pilipili umeonyesha namna pilipili inavyoweza kuathiri afya, lakini matokeo ni mchanganyiko Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa utafiti katika miongo ya hivi karibuni... Lakini je huwa tunatumia viungo hivyo ipasavyo kwa ajili ya afya zetu au la?Na faida za viungo hivyo ni zile ambazo unahisi.Viungo vimekuwa sehemu ya milo yetu ya kila siku maelfu ya miaka ,tumezoea kula viazi vya kukaanga na pilipili, tangawizi kwenye chai na kuongeza kwenye mlo.Lakini hivi karibuni, baadhi ya viungo ambavyo vimekuwa vinatajwa kuwa tiba ya baadhi ya magonjwa ingawa hakuna tangazo rasmi linalothibitisha hoja hiyo.Binzari imekuwa ikitumika katika maeneo ya bara la Asia kwa millennia.Katika utafiti wa mwaka 2014 , haijawekwa wazi bado kuwa utumiaji wa viungo una faida za kiafyaen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/799
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectViungoen_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectMapishien_US
dc.titleViungo vya chakulaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
VIUNGO VYA CHAKULA.pdf
Size:
1.13 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections