Mafunzo ya mpango wa huduma za chakula katika shule za msingi tanzania

Loading...
Thumbnail Image

Date

2000-03-12

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya elimu

Abstract

Kitabu boo kimetayarishwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi wanaohusika na utekelezaji wa mipango ya huduma za chakula cha mchana katika shule za msingi. Watakaoshirikishwa katika mafunzo hayo kwenye ngazi mbalimbali ni kama ifuatavyo: (a) Waratibu wa Sayansi Kimu wa Wilaya ambao watawajibika kuwafun disha walimu wakuu wa shule za msingi amoja na Waratibu Tarafa na Kata wa Elimu ya Watu Wazima, (b) Walimu Wakuu watawafundisha walimu wengine wa shule za msingi. Walimu wa shule za msingi na Waratibu Tarafa na Kata na Elimu ya Watu Wazima watafundisha wFzi na viongozi wa vijiji.

Description

Keywords

Chakula bora, Utapiamlo, Umuhimu wa chakula, Chakula shuleni

Citation

Collections