Faida za mafuta mwali ya nazi
Loading...
Date
2022
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzani(TARI)
Abstract
Mafuta mwali (Virgin Coconut Oil-VCO) ni mafuta yatokanayo na nazi ambayo hayajaongezwa kemikali yoyote wala kuchemshwa; hukamuliwa, huchujwa na kufungashwa Hukamuliwa toka kwenye nazi safi, kwa mfumo wa Cold Press hivyo ni asili kwa asilimia mia (100%) Pamoja na kuwa na ladha nzuri ya asili, pia yana virutubisho vifuatavyo: Lauric acid, capric acid, caprylic acid, myristic acid, palmitic, Choline, vitamin E, K and Iron. Lauric acid, capric acid na caprylic super fatty acids y 50% ya fatty acid iliyo kwenye mafuta mwali ya nazi ni lauric acid hubadilishwa na mwili kuwa monolaurin ambayo hupatikana katika maziwa ya binadamu (mama)
Description
Kipeperushi
Keywords
Nazi, Coconut, Mafuta, Mafuta ya nazi