Kilimo cha migazi - michikichi
Loading...
Files
Date
2018-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Hai Blog
Abstract
Migazi au michikichi ni mimea aina ya mitende inayostawi vizuri kwenye udongo
wenye rutuba nyingi na uisojaa maji wakati wote. Mimea hiyo hupenda pia mvua
nyingi. Matunda ya migazi au michikichi hutoa mafuta yanayoitwa mawese. Mafuta
ya mawese yana rangi ya manjano na hutumika kwa kuungia aina mbalimbali za
mboga za majani, maharage au aina mbalimbali za kitoweo.
Description
Keywords
Migazi, Michikichi, Mawese, Mafuta, Mitende