Kilimo bora cha Bamia.
Loading...
Date
2016
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo
Abstract
Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye
asili ya Ethipia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa
sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa
ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya
Description
Keywords
Bamia, Abelmoschus esculentus, Kilimo