MWONGOZO WA TEKNOLOJIA ZA UZALISHAJI WA VIAZI MVIRINGO TANZANIA

dc.contributor.authorWIZARA YA KILIMO
dc.date.accessioned2022-01-25T11:01:31Z
dc.date.available2022-01-25T11:01:31Z
dc.date.issued2018
dc.descriptionMWONGOZO KWA MKULIMA JUU YA KILIMO CHA VIAZI VITAMUen_US
dc.description.abstractMwongozo huu unatoa maelezo juu ya teknolojia za kufuata ili kuwezesha wakulima kufanya maamuzi kabla ya kuzalisha viazi mviringo,hasa katika matumizi ya mbegu bora, mbolea, viuatilifu na mbinu bora za usimamizi wa kilimo na mazingira. Nchini Tanzania viazi mviringo ni zao muhimu kwa chakula na biashara. Kwa uzalishaji, viazi mviringo ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga. Zao hili ni muhimu kwa usalama wa chakula, kuboresha lishe, ajira na kuongeza kipato. Nchini Tanzania matumizi ya viazi mviringo yanaongezeka kwa kasi vijijini na mijini kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na mahitaji ya vyakula vitokanavyo na viazi mviringo. Soko lake la uhakika ni kwenye miji mikuu kama Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma. Masoko ya nje pia yameendelea kuongezeka. Kwa nyanda za juu kusini na kaskazini mwa Tanzania, mavuno ya viazi mviringo ni makubwa ukilinganisha na mazao mengine ya chakula kama mahindi. Viazi mviringo hukua vizuri katika miinuko ya kuanzia mita 1200 mpaka zaidi ya mita 3000 kutoka usawa wa bahari. Mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe inatoa zaidi ya asilimia 80% ya viazi mviringo vinavyoliwa nchini Tanzania na ndio inaongoza kwa uzalishaji wa viazi mviringo kwenye Nyanda za Juu kusini. Viazi mviringo vinaweza kulimwa mara 3 kwa mwaka kila baada ya miezi 3-4 ukilinganisha na zao la mahindi linalochukua miezi 10-12 kwa baadhi ya maeneo.en_US
dc.description.sponsorshipIFAD,FARM REDIO,CABIen_US
dc.identifier.citationhttp://africasoilhealth.cabi.org/wpcms/wp-content/uploads/2019/02/POTATO-MANUAL_1stFeb.pdfen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/567
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCABIen_US
dc.relation.ispartofseriesTOLEO LA KWANZA;
dc.subjectVIAZI, VIAZI MVIRINGO, MWONGOZO, UZALISHAJIen_US
dc.titleMWONGOZO WA TEKNOLOJIA ZA UZALISHAJI WA VIAZI MVIRINGO TANZANIAen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
POTATO-MANUAL_1stFeb.pdf
Size:
10.89 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
MAIN ARTICLE
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections