Karafuu

dc.contributor.authorMuungwana Blog.
dc.date.accessioned2024-10-10T09:35:05Z
dc.date.available2024-10-10T09:35:05Z
dc.date.issued2016-10-02
dc.description.abstractKarafuu ni zao linalotokana na mkarafuu, ingawa karafuu hazimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu sana kwa maisha ya binadamu.Mikarafuu ilianza kupandwa kwenye visiwa vya Shelisheli, Mauritius na sehemu nyinginezo katika karne ya 19. Miche ya mikarafuu ililetwa Zanzibar kutoka Indonesia, mashariki ya mbali mwaka 1818. Mikarafuu inastawi zaidi Visiwani vya Unguja na Pemba ambapo katika miaka 30 iliyopiata Zanzibar ilikuwa inazalisha asilimia 80 ya karafuu zote zinazohitajika duniani ambapo uchumi wake ulitegemea sana zao la karafuu.en_US
dc.identifier.citationhttp://www.muungwana.co.tzen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/939
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMuungwana blogen_US
dc.subjectKarafuuen_US
dc.subjectKiungoen_US
dc.subjectTibaen_US
dc.subjectMagonjwaen_US
dc.titleKarafuuen_US
dc.title.alternativeKarafuu kama kiungo kwa vyakula na tiba ya magonjwa mengi.en_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Karafuu.pdf
Size:
111.68 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections