Ukulima wa mwani kisiwani Pemba
No Thumbnail Available
Date
2021-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Shirika la chakula duniani
Abstract
Ukulima wa mwani visiwani Pemba wachangamshwa na mradi wa IFAD na GEF .
Sasa wakazi hawa wa kisiwa cha Pemba wanazidi kutegemea chanzo mbadala cha mapato kinachoota chini ya maji ya bahari, Mwani.
Description
Jarida
Keywords
Kilimo, Zao la Mwani, Pemba