Kilimo Shadidi cha Mpunga

dc.contributor.authorTume ya Taifa ya Umwagiliaji
dc.date.accessioned2023-12-28T05:00:48Z
dc.date.available2023-12-28T05:00:48Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractKilimo shadidi cha mpunga (System of Rice Intensification—SRI) ni teknolojia bora yenye kutumia maji na mbegu kidogo kwa kutoa mavuno mengi. Hutumika kwa ku- badilishana kati ya kulowanisha kwa siku 3 na kukausha ardhi kwa siku 7 kwa kina cha sentimita 2 za maji yaliyotuama. Mu- da wa ukavu huweza kuwa kati ya siku 4 - 7. Mipasuko ya udongo kwenye jaruba ni kiashiria cha kumwagilia maji kwenye jaruba. Kama udongo ni wa mfinyanzi ta- hadhari kubwa yatakiwa kutoruhusu mipasuko ya kupitiliza kabla ya kum- wagilia ili kuepuka maji mengi kupotea isivyotarajiwa.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/785
dc.publisherJamuhuri ya Muungano wa Tanzaniaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMpungaen_US
dc.titleKilimo Shadidi cha Mpungaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
sw1628005317-KILIMO SHADIDI CHA MPUNGA SRI_2019.pdf
Size:
1.05 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
main articles
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections