Matumizi ya kiuagugu kwenye mikorosho

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Jinsi ya kudhibiti magugu wakati wa kuanzisha shamba inashauriwa kuchimba visiki na vichaka vyote. Changanya mazao ya msimu katika shamba la Mikorosho hadi pale Mikorosho itakapo songamana. Fanya palizi ya shamba la Mikorosho kwa kulima kwa jembe la mkono, trekta au fyeka kwa kutumia panga au zana zozote.

Description

Kipeperushi

Keywords

Mikorosho, Magugu, Viatilifu

Citation

Collections