Kupanda Mikorosho mipya
Loading...
Date
2022-06-25
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele
Abstract
Kipeperushi kinazungumzia upandaji wa mikorosho mipya ambappo ni kitendo cha kuanzisha shamba jipya kwa kufuata kanuni za kilimo bora cha mikorosho.Mashamba ya wakulima wengi yana mavuno hafifu, uzaaji mdogo hali iliyotokana na upandaji holela na duni na utumiaji wa mbegu hafifu.
Description
Keywords
Mikorosho, Kupanda