Faida za mifugo kwa wakulima
Loading...
Date
1993-09
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Ukulima wa kisasa
Abstract
Kilimo na ufugaji wa ngombe,mbuzi au kondoo ni shughuli ambazo zina manufaa mengi kwa mkulima,kwani zinategemeana sana.Mkulima ambaye pia ni mfuaji hunufaika zaidi kuliko yule asikuwa na mifugo:na mfugaji naye pia hunufaika zaidi iwapo analima pia mazao.
Description
Keywords
Mifugo wakulima