Mbinu bora za ufugaji samaki kwenye mabwawa ya kuchimba.
Loading...
Date
2021
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Abstract
Ufugaji wa samaki ni
miongoni mwa tasnia
inayopewa kipaumbele
na jamii mbalimbali hapa
nchini, kwa kuwa inatoa
fursa za kuongeza
kipato, lishe na ajira.
Ufugaji wa samaki
huweza kufanywa
sambamba na kilimo,
hususani cha bustani na
ufugaji wa wanyama.
Ufugaji wa samaki
huweza kufanyika kwa
lengo la kujikimu katika
ngazi ya familia na
kibiashara
Description
Keywords
Ufugaji wa samaki, mabwawa ya samaki, Samaki