Kulima kwa plau
Loading...
Date
2018-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Hai Blog
Abstract
Katika nchi yetu, wakulima wengi wameshazoea kutumia ng'ombe au punda kukokota plau au
mkokoteni. Wanafurahi uzoefu huo kwa sababu wameshapata faida nyingi. Wakulima wengine bado
wanasitasita kutumia ng'ombe wao kufanya kazi.
Description
Keywords
Plau, Zana za kilimo, Tekinolojia