Uboreshaji Lishe na Afya Kupitia Mikakati Endelevu Ya Kilimo - Mwongozo wa Kitaalam 02

dc.contributor.authorEkesa, B
dc.date.accessioned2018-06-13T08:10:47Z
dc.date.available2018-06-13T08:10:47Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractUtoaji wa makala hii ni sehemu ya mradi wa ushirikiano baina ya CIALCA na MtandaoAfya (HealthNet) TPO ujulikanayo kama “destuli endelevu za kilimo na afya kwa uimalishaji lishe na afya kwa jamii ndogondogo nchini Burundi (upande wa afya Kanda ya Gitera) na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo- DR Congo (upande wa afya Kanda ya Butembo). Makala hii imekusudiwa kutumika na wataalam kilimo, wachumi wa masuala ya nyumabani, wataalam lishe, na watumishi wa afya katika kuwajengea uwezo wawezeshaji katika jamii husika (community own resource persons) (CORPs). Matarajio kwa ujumla ni kuimalisha kiwango cha lishe miongoni mwa wanajamii kupitia destuli sahihi za ulaji na mikakati endelevu ya kilimo. Maudhui yaliyomo katika makala hii yalichambuliwa kufuatia mapungufu yaliyoonekana katika ngazi ya jamii kupitia mahojiano ya vikundi na mapitio ya kaya. Mwongozo huu kwanza unaelezea mlolongo unaojumuisha kilimo, lishe na afya. Halafu, unatoa elimu ya msingi ya lishe juu ya aina za virutubishi na vyanzo vyake katika maeneo husika. Mwongozo pia unaangalia masuala ya uhakika wa chakula, mambo yanayoathiri uhakika wa chakula na mikakati ya kuimalisha upataji chakula. Mkakati mkubwa unaosisitizwa kwenye makala hii ni uanzishaji wa bustani za mfano zitakazowezesha uanzishaji wa bustani za majumbani. Vilevile makala hii inatoa taarifa za kina juu ya uzalishaji, thamani ya chakula na mbinu za mapishi ya mazao ya vyakula yaliyobainishwa ya bustani za majumbani. Mazao husika yamebainishwa kwa kigezo cha umuhimu wake kwa jamii za afrika ya kati, mazao haya ni ndizi, viazi vitamu, maharagwe na mchicha. Pia katika makala hii kuna taarifa kuhusu usalama na usafi wa chakula.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/156
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCIALCAen_US
dc.subjectLisheen_US
dc.subjectAfyaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleUboreshaji Lishe na Afya Kupitia Mikakati Endelevu Ya Kilimo - Mwongozo wa Kitaalam 02en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
CIALCA Technical guide 02 Swahili.pdf
Size:
743.99 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections